NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Nakuja, mie ni mume wa watu, nna wake 2 tu
Na nawapenda wake zangu.
Jibu basi PM yangu jamani, ushaanza kunikondesha
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu
1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa
Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.
Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.
Mume wa mtu sumu

Hongera kwa uamuzi mgumu. Sasa mume wa mtu utamuweza? Nakupm namba ya mume wangu uje tusaidiane shosti. Kama unajiamini uje wknd home kwetu nikuintrodyuzi.
Naamini inbox yako ya PM saa hizi isha furika, kuna watu wanashoboka sana na avatar