Natafuta mume wa mtu

Natafuta mume wa mtu

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
596
Reaction score
307
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa

Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.
 
Nakuja, mie ni mume wa watu, nna wake 2 tu
Na nawapenda wake zangu.

Jibu basi PM yangu jamani, ushaanza kunikondesha
 
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa

Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.

Unaaibisha wanawake wenzako,dont be that cheap khaa
 
Nilitamani kukujibu but.. Ee Mungu niepushe na kikombe hiki.... Nisije tupwa jela buree.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naamini inbox yako ya PM saa hizi isha furika, kuna watu wanashoboka sana na avatar
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa

Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.
 
Ha ha ha ha, anadhani kuwaona watu na ndoa zako wako happy maana yake hawana migogoro??

Hongera kwa uamuzi mgumu. Sasa mume wa mtu utamuweza? Nakupm namba ya mume wangu uje tusaidiane shosti. Kama unajiamini uje wknd home kwetu nikuintrodyuzi.
 
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa

Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.

Hii niliyoweka RED ndiyo inanikwanza. Ukiweza kunidadavulia maana yake nini, na nikafanikiwa ku-meet hiyo criteria nitawakilisha maombi MARA MOJA
 
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa

Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.

Mungu wako akusamehe... hautakaa uwe na amani kamwe! wewe ni chanzo kikubwa cha uharibifu wa familia, usifanye usichopenda kufanyiwa hata siku moja. Tafuta wako mtengeneze usingoje wa kutengenezewa.
 
Back
Top Bottom