Natafuta mume wa mtu


du!ila wenye mapenz ya kweli mbons wapo u.
 



Nakupa hongera kwa kuwa muwazi na kujali familia ya mwenzio. Kutoka nje ya ndoa kwa hapa Bongo imekuwa kama ni halali kwani ni wengi wanafanya hivyo na kibaya zaidi wengi ya wanawake wanaiba waume wa wenzao kwa kuvunja familia zao ila wewe unataka kuimarisha familia ya mwenzako, hongera sana.
 

Nadhani wa aina hiyo hajazaliwa bado. Anayeipenda familia yake halafu aiache aje akufuate wewe ? Badilisha , sema asiyeipenda familia yake labda utabahatisha kadhaa
 
Namimi natafuta lakini awe mke wa mtu. Je unazo sifa? Kama unazo ni-pm tuendelee na kinachofuata.
 
Nipe hyo nafasi hautajuta tena maishan mwako!ni pm tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…