Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu
1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa
Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.
Kama uko serious ni PM tuanze mchakato.
Unamtafuate Mume wa Mtu au unamtafuta SHETANI?
Huo ni USHETANI! Mungu alisema: Ndoa ni mume mmoja, mke mmoja!
Sasa wewe wataka kuvunja ndoa ya mtu, sio WIZI na UUAJI huo?
Imeandikwa: Usiibe, Usiue.
Hatima ya wewe kuwa na huyo mume wa mtu, ni kwamba utaivunja ndoa yake, na utakuwa UMEMWIBIA mwanamke mwenzako HAKI YAKE takatifu, na pia, utakuwa UMEMWUA kwani atakuwa na majonzi makali sana!
Fikiria, kama wewe ndiye ungekuwa unafanyiwa hivyo, UNGEJISIKIAJE?
Tafakari. Chukua hatua!
BADILIKA! Mlaani SHETANI!
Mrudie Mungu! Atakusamehe dhambi zao. Yesu HAHUKUMU!