Natafuta mume

NAMBA AKO PLZ
 
Namm nahitaji MKE,nipo natumai utanifaa njoo inbox tuyajenge..
 
Kwa Jinsi Ulivyoandika Kiukweli Upo Serious Kuna Wengine Wanavigezo Utasema Alikuumba Yeye Nachoshukuru Post Yako Imenipa Mke Nakuja Pm Uamini Nachokisema.
 
 
Muwage makini kwenye likigezo la dini haya utampata unayemtafuta safari njema
 
Kuna fursa ya waz waz hapa
Haihitaji hata malipo
 
 
ushapata au bado?
 
Niulize mtu akipost akasema tukutane pm anamaanisha nini?? Naona watu wanapost tu hivyo nashindwa kujua pm ni wapi jamani msaada pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…