Natafuta mume

Ni kweli lakini wao hili hawalitambui
 
Niliemjibu kaelewa wewe ndio hujaelewa elimu yako please inaoneka mwalimu wa darasa alipata kazi sana kukuelimisha.
Katika dini ya kiislam hakuna elim inayoitwa mujahedeen ,hii ni jinsi gani invyoonyesha hufaham chochote
 
kweli Ndumilakuwili sio wote tumeandikiwa kuolewa mwisho wake ndio tunatafuta waume wenyewe
Dada yangu siku zote mwanamke akiwa anajitambua,msafi,sio mvivu,anajua kupika,ana heshima na sifa zingine nzuri ata olewa tu sisi wanaume tunatabia moja kuna wanawake tukiwasoma tu tunajuwa huyu hafai kuwa mke huyu ni wakugonga basi na kuna mwingine kwa mwenendo wake tu unajua huyu natakiwa kumuheshimu anafaa kuwa mke.
 
Siunaona sasa jinsi ulivyo huelewi, tofautisha kati ya elim ña dhehubu,
Sikuwa na maana kiviile kwa hiyo ulishindwa tu kuelewa mwanzo maana naona napiga ngoma isiyoeleweka lakini unacheza hivyo hivyo,
Pole mkuu kwa kukusumbua
 
na bahati pia inachangia kaka unaweza ukafanya vyote hivyo na kuolewa usiolewe
 
Sikuwa na maana kiviile kwa hiyo ulishindwa tu kuelewa mwanzo maana naona napiga ngoma isiyoeleweka lakini unacheza hivyo hivyo,
Pole mkuu kwa kukusumbua
Pole ww bashite
 
Apo mbali sana punguza age kidogo coz wngine sisi wadogo. Tutafanyaje .
 
Kwa umri huo bado tu unakua na masharti magumu hivyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…