Natafuta mume

je? wanasheria na sisi tukae mbali kama walimu na wasabato? au tupo kundi moja na madoctor na mainjinia. vipi kuhusu wahasibu/auditors
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
kama haujaolewa, wewe nakuhakikishia hautakuja kupata mume. kwasababu unakufuru ujue.
 
Umaskini wa akili ni umaskini mbaya kuliko yote!!
 
Pumbavu degree zipo kibao kaolewe na kakayako nani anataka matatizo hayo
 
Pole sana kwa hiyo 1MIL ndiyo maisha yako
 
Watu hatujasoma et nataka engineer doctor mshahara 1MIL pumbavu kabisa
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
Kama unaijua value yako mbona hadi umri huo hujapata Huyo mume hadi unajitangaza ,unajidanga unajivaalue zaidi ila value yako ni ndogo ndio maana wanaume wanakuona kamawenzao au huna ladha,au mzuri kwa clabu na sio kwa kuolewa,Wanawake wazuri wamwolewa mmebaki madunga nyembe mnahaika,jichunguze value ktk ndoa haimati
 
kweli mummy.kama haikuhusu tembeaaaa.kila mtu na mtazamo wake.na njia zake.sote hatufanani
 
Dah! "Atapewa kipaumbele" Kama za kwenye ajira vile! Hapo hakuna cha kupendwa.
Kinachopendwa siyo mtu ni sifa zake na kipato chake tu!
Dunia sasa hivi ina mambo hii!
 
W e
 
Engineer au dokta... na kama mfanyabiashara awe na uwezo wa kuingiza million kwa mwezi...

[emoji3] [emoji3] [emoji3] unajikuta kama almashauri unakusanya tu kodi...
.... afu we haujatoa sifa zako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…