mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Una value...how much?ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
Ukimkosa uje pm nikuambie kitu okMimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
kizuri kinajiuza ,kibaya chajitembeza.Huwezi kutoka kiwanja cha fisi ukawa mke mwemaMimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Sina cha kuongeza umemaliza.Wanawake mnaboa sana, hizi akili sijui mwaziweka wapi, wote waliokuona hawajaiona hiyo value, sisi tusiokuona ndo waja kutuimbia hapa una value. THAT MINDSET ya kusema una value na unaiona it will repel wanaume, niamini mimi! kwenye andiko lako waonyesha clearly unyenyekevu ni sifuri, na niamini mimi, wanawake wazuri na wanaojua thaman zao wanaishia kupigwa tu, wanaoonelwa ni wale wanyenyekevu wanaojitambua hata kama sura zao ni average, Wanaume hawaoi wanawake ili kufungua kampuni ya mamis na ma modo, wanaoa ili kulea familia. KILA LA KHERI dada yangu, Dont take this personal.
Unataka mume bora je wewe ni mke bora.eti nipo above 30 ningekuwa above ningekuja na vigezo vyote hivyo ukiona hivyo it means I am still young that's why sihitaji bora mume ila mume bora
Na je hata akimpata akaja kuyumba akokosa hiyo mil kwa mwezi so ndoa ndo inakuaje tena, inakufa au?Mtoa post ni mji.nga na kamwe hutapata mume kwa staili hiyo. Sio hapa jukwaani tu hata uhamie kanisani ukaimba kwaya miaka mzima. Na nina wasiwasi hujui hata maana ya ndoa yenyewe.
Hivi unadhani ni mwanaume gani ataoa mwanamke ambaye anatangaza hadharani kuwa anataka kuolewa na mwanaume mwenye kipato Cha kuanzia milioni. Ili iweje? Ili uje kuifanyia Nini? Je utaweza kuitunza n kuizalisha zaidi au utakuja kuitumia Kama mwehu? Na ikiwa sitakuwa na uwezo wake kuzalisha hiyo milioni kila mwezi itakuwaje?
Hivi shule mlienda kukua au kufuta ujinga?
Aiseee una hasiraa.Soma Masters Na wewehaya mabandiko siku iz yanaboaaa....kama ungekua expensive wakumtaka mwanaume waivo mbna ungekua umeshampata ata uyu usingekuja kujianika...we sema natafta mume iyo misifa peleka mbelee....masters umemsomessha ww??,,,iyo mil biashara ulimfungulia???
Nimeongeza Siku za kuishi DunianiDaby brother wangu huyu ana vigezo vyote na kazidi ila hapo kwenye kupima HIV ndio utakapomkosa hapo. atakupiga na ngumi juu