Natafuta mume

Hongera sana,mpendane na msisalitiane...kila la kheri.
 
Wanawake Viumbe Wa Ajabu Kwenye Bandiko Lako Ulisema Hutaki Mwl Mrejesho Wako Unamtaja Mwl Kama Mtu Aliyejaza Nafasi Hongera Mwl Endelea Kujaza Nafasi Zilizoachwa Wazi Kwa Huyu Kiumbe Aliyekuja Na Vigezo Utadhani Anaumba Yeye.
 

In Engineering masters haina umuhimu compared to experience. Kuna walioend kusoma straight after university but wakakosa ajira walizoimagine wanastahili kupata due to lack of experience
Kwa Madaktari Masters ni added advantage ya kuweza kufanya private clinics lakini tofauti ya mshahara ni mdogo sana.
My take, Usingevipa top priority vigezo vya pesa au elimu.
Be with a man who will make a good husband and father to your future children.
Haya mambo pia yanaenda na kusali pia ili uweze kuchagua mtu sahihi maana watakaoku pm ni wengi but you need only one. Bottom line kama unataka mtu serious weka serious post.
 
Hongera mamy!!! Nawatakia heri katika safari yenu
 
Mimi vyote niko navyo sema ni black zaidi ya mpoki, awaiting for the second selection
 
Asee wanaume sio kwa vipondo hivyo kwa mwanamke mwenzangu dooh![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hii kali
 
Mnajua kuflow Atari.
Njoo kwenye hualisia sasa..yan
 
Mm nipo tayari kwa kila jambo ila age ndio tatizo mm ni mkweli niko tayari kama utakuwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…