Natafuta mume

bahati nzuri mapenzi hayana masters,barchela wala ingineer.Hata mwenye sifa hizo hawezi kukutfuta maana unataka vitu kupitia mtu si mtu.
 
Km mtu mwenye elimu anafikiri,kuamua ,kusema na kutenda kama wewe aisee ni aibu kwa elimu yetu,
 
Hata huyo mwanaume alotongozwa na huyu nanii ni mjinga wa kiwango cha -mwisho,hivi mwanaume timamu,usiye na shida na ambae umeme unatosha kichwani yani unaweza shawishika na tangazo la kijinga la mwanamke kutafuta mume na ww ukajitusu!,
Huko ni kujiuza
 
Unajua, ukipigwa chini hasira na visasi ni vingi bila kujua madhara yake. Dada tulia mungu atakuongoza na utampata.
 
Naona unatangaza ajira...yaani mtu anakuja kukulea alaf unamletea mbwembwe wee vp
 
Ulikataa mwalimu yyt, ktk mrejesho umempata mwalimu wa sec flani ,kazi mnayo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…