Natafuta mume

Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Picha
 
Mungu akusaidie ua so direct na huna mashauzi. Huenda ukawa mke mwema na bora sn.
 
Reactions: SDG
Kumbuka kuleta mrejesho atakapopatikana huyo umpendaye au umtakaye.
 
Matangazo mengi ya aina hiyo mkuu humu yana vigezo,mara kipato sasa siye tunaounga unga maisha lazima tujue kwanza tusije kuchambwa huko PM
Vigezo gani mnavitaka? Kwani mwanaume si anajulikana tu ni mtu wa vipi? Anachohitaji yeye ni mtu mwenye uume basi
 
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!

Karibu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…