Natafuta mume

Natafuta mume

Mimi naona haina haja pm kila mtu anaehitaji amwage sound zake hapa atakae kubaliwa basi biashara iishe ilitujue kama anepata au bado ili kupunguza usumbufu huko pm....
 
Mimi na emmyta tunaendana kama mtu na mchepuko wake ila siyo mke na mume.

Kwa hiyo kuna hatua tunasubiri ikamilike na sisi tuanze huo uhusiano.
Haha ha ha ha mzee naona unakimbia comitment enhee? mambo ya kuwa mcheouko tena?
 
Back
Top Bottom