Natafuta mume

kababygirl

New Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
1
Reaction score
7
Habarini wapendwa, najitokeza kwenu wana JF;

~ Mimi ni binti mwenye miaka 26
~ Naishi Kusini mwa Tanzania
~ Elimu yangu ni diploma
~ Dini yangu ni Mkristo
Hakika nimechoka upweke natamani kuolewa sasa hivi. Nimeumizwa sana na mapenzi, nahitaji mwanaume ambae atanifanya nisahau mateso niliyowahi kupitia.

Sifa za mwaume
~ Awe mcha mungu
~ Anayejua nini maana ya maisha.
~ Mwenye uhitaji wa dhati na mchumba sio masihara.
~ awe mkristo
~ Asiwe mlevi
~ Asivute sigara
~ Awe ameajiriwa au amejiajiri, elimu anizidi mimi au hata sawa na ya kwangu

NB: Sijali sana kipato, najua tutatafuta kikubwa ni Upendo wa Dhati. Naamini maisha popote yanaanzishwa.

Karibu PM.
 
NAOMBA UNICHEKI HUKO PM ULIKOSEMA
 
Njoo PM Nina sifa hizo zote
 
weka sawasawa mapenzi hayaumizi ila wapenzi ndo wanaumiza usijechukia mapenzi bure wkt si yenyewe ni wenyewe ndo wamekuumiza..
mkakati mwema lkn naona bado unatambaa kwenye anga la kuumizwa.. happy new year
 

mimi nimekosa kigezo cha unapoishi tu!! mbali saana na dar kimapenz
 
Njoo pm
 
ambao mpo single, changamkieni fursa,, sie wengine tuna maumbile makubwa hatuwezi kukubaliwa.
 
Njoo pm
 
ukitoa kipengele cha dini uni tag na mimi baby
 
Dah...fegi na pombe tena .....[emoji87] [emoji14] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…