kababygirl
New Member
- Dec 21, 2017
- 1
- 7
Habarini wapendwa, najitokeza kwenu wana JF;
~ Mimi ni binti mwenye miaka 26
~ Naishi Kusini mwa Tanzania
~ Elimu yangu ni diploma
~ Dini yangu ni Mkristo
Hakika nimechoka upweke natamani kuolewa sasa hivi. Nimeumizwa sana na mapenzi, nahitaji mwanaume ambae atanifanya nisahau mateso niliyowahi kupitia.
Sifa za mwaume
~ Awe mcha mungu
~ Anayejua nini maana ya maisha.
~ Mwenye uhitaji wa dhati na mchumba sio masihara.
~ awe mkristo
~ Asiwe mlevi
~ Asivute sigara
~ Awe ameajiriwa au amejiajiri, elimu anizidi mimi au hata sawa na ya kwangu
NB: Sijali sana kipato, najua tutatafuta kikubwa ni Upendo wa Dhati. Naamini maisha popote yanaanzishwa.
Karibu PM.