Natafuta mume

Shavania

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
5
Reaction score
13
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
 
Huko kwenye Dunia ya kweli Hakuna Wanaume? Mwanamke Kilaza ni tatizo sana!
 
Hapa ndo weng hesabu zenu mnakosea !!.

Ushajua ID yako ya awali ilijaa maluwe luwe ,basi mnakuja na ID mpya !!.ivi unadhan hata uyo mwanamme atakayekuja ,yeye Hajui ulikua na ID ingine apo wali ?.

Embu njooni ktk Uhalisia wenu bana ,nini mnachoogopa ??

Haya nimatokeo ya ulichokua unakifanya na kukisema humu ,, MTU kama unajijua ulikua unafanya nakusema mzur, haina haja ya kuja na ID mpya !!. Sure hamna muoaji asotaka kujua niwapi umetokea.

Basi hata ungeacha kidogo upost post na kukoment post nzur zenye uvuto ,ili uwavutie, sasa hilo nalo linakushinda !!

Sister am very sory to say this ,," watakuja ma boyfriend lkn sio Mumefriend" ..hapa ndipo utajua Mwanamme nikiumbe mwenye Akili.
 
Picha plz. Isije Kuwa una ukoo na marehemu Dr Lemmy Ongala
 
Ewaaaa umetuwakilisha vyema kabisa wanaume wote mkuu
 






Mbona wewe huna hofu na Mungu
 
Mercy beucoup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…