Natafuta mume

bintidina

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
8
Reaction score
13
SIFA ZANGU
- miaka 36
- mkristo
- nimeajiriwa serikalini
- nina mtoto mmoja
- sijawahi kuolewa
-naishi dsm

SIFA ZAKE
-nahitaji mume
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-umri 37-45-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
kama haikuhusu pita kimya kimya sihitaji mapovu
 
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akufanyie wepesi ufanikishe hitaji lako
 
Nimekidhi vigezo [emoji817]%
Njoo PM binti.
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume imenichekesha sanaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajua nini bibie Sisi tulie early 20 ndo tunaoa hao wengine wataosha rungu na kusepa..
 
Mama njoo pm tumalize zoezi...mume umepata na ile hoja ya mwanaume makovu hondoa shaka yapo ya kutosha
 
Mimi nina sifa zote ila sio mrefu,akilegeza mashart naaply fasta
 
Yan tayar una goal mkonon alafu ndio unataka mwanaume wa kukuoa aje!!
Ukwel mchungu bikra nikose ad kwenye kuzaa mtu anitangulie!!!!
Kwan lazima kuolewa, c umalizie tu maisha ya ubachelor
 
Kinachonishangaza, wanawake wife material hawana masharti lundo kama hawa ambao wameshabugi ktk kumiliki ndoa.
Kubalini mlishakosea achaneni na masharti, masharti tu yanaweza kumkimbiza muwekezaji.
 
miaka tu tabu nimebakisha siku chache kufikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…