Natafuta mume

Natafuta mume

Haya yote yanatoka wapi umekidhi mashart mfuate pm.Huna vigezo fungus Uzi mwingine so simple
Huwaga akina dada wakiwa bado wabichi wanawaza kuwa na mtoto, baadae umri ukienda wanaume wenyewe tunataka kuoa wanawake wasio na watoto wanabaki na option ya second selection,
 
Umri umefanyaje..huyo anazaaa hata 5 akiamua.Wakina Jlo 58 Na wanaolewaa akina Toni Braxton wanaenda 60 kila MTU Na muda aliopangiwa Na Mungu
Dah! mimi nimeishia hapo kwenye umri wake tu!
 
SIFA ZANGU
- miaka 36
- mkristo
- nimeajiriwa serikalini
- nina mtoto mmoja
- sijawahi kuolewa
-naishi dsm

SIFA ZAKE
-nahitaji mume
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-umri 37-45-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
kama haikuhusu pita kimya kimya sihitaji mapovu
Umesahau sifa moja "mwenye hofu ya mungu"
 
Back
Top Bottom