Pita pembeni.mtoa Uzi wala hajakuita.Huwezi jua MTU yamemkuta nini
Huwaga akina dada wakiwa bado wabichi wanawaza kuwa na mtoto, baadae umri ukienda wanaume wenyewe tunataka kuoa wanawake wasio na watoto wanabaki na option ya second selection,
Dah! mimi nimeishia hapo kwenye umri wake tu!
Ngoja nifungue uzi mkuuHaya yote yanatoka wapi umekidhi mashart mfuate pm.Huna vigezo fungus Uzi mwingine so simple
Umesahau sifa moja "mwenye hofu ya mungu"SIFA ZANGU
- miaka 36
- mkristo
- nimeajiriwa serikalini
- nina mtoto mmoja
- sijawahi kuolewa
-naishi dsm
SIFA ZAKE
-nahitaji mume
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-umri 37-45-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
kama haikuhusu pita kimya kimya sihitaji mapovu