Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Nyie ndo mmeshindwa kumuelewa... Hajasema sex baada ya ndoa... Ila kasema wanaume wa humu wanaharakisha sana..siku 2,3 anataka ngono... Yawezekana yeye anataka mdumu kwa muda ili mjuane vizuri ndo atakuwa tayari...Mimi nakubaliana naye 100%..,wengi wenye tabia hizo huwa ni masex maniac kuoa hawawezi... Msimamo wake utampunguzia kuchezewachezewa.
 
Agree with you brother Yan mtu anakua ameshakujua mapema ukitakacho so ngumu kumpata mwanamke km huyo unless she's th btch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Lazima tucheki kwanza kama yaliyomo yamo hatuchukui mbuzi kwenye gunia

Sent using Jamii Forums mobile app Nawa mikono
 
Nikuone pm please
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa magumu unayopitia,
Hitaji lako liko mbele za Mungu, ni swala la muda hakika utatendewa likilo jema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante drone kwa kuwaelimisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…