Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Labda anataka aolewe kwa misingi ya kidini yaani hamna kubanjuana mpaka mfunge ndoa halafu baada ya mwezi aje hapa kulalamika kuwa mme ana kibamia au hasimamishi kabisa.
Try before use ndio mpango mzima
#Mzee baba legeza kidogo huku kitaani hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mmeshindwa kumuelewa... Hajasema sex baada ya ndoa... Ila kasema wanaume wa humu wanaharakisha sana..siku 2,3 anataka ngono... Yawezekana yeye anataka mdumu kwa muda ili mjuane vizuri ndo atakuwa tayari...Mimi nakubaliana naye 100%..,wengi wenye tabia hizo huwa ni masex maniac kuoa hawawezi... Msimamo wake utampunguzia kuchezewachezewa.
 
Agree with you brother Yan mtu anakua ameshakujua mapema ukitakacho so ngumu kumpata mwanamke km huyo unless she's th btch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Lazima tucheki kwanza kama yaliyomo yamo hatuchukui mbuzi kwenye gunia

Sent using Jamii Forums mobile app Nawa mikono
 
Nikuone pm please
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo kikuu japo kwa sasa sina ajira.
Umri wangu miaka 30.
Mkristo.
Mwanaume nimtafutae.
Kuanzia miaka 32.
Awe anajitambua na ajue nini maana ya mke na familia na amkubali na kumpenda mwanangu kama mwanae wa kumzaa
Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai maana mie najua kupenda sana na ninajua nini maana ya mwanaume.
Karibuni

Pole kwa magumu unayopitia,
Hitaji lako liko mbele za Mungu, ni swala la muda hakika utatendewa likilo jema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante drone kwa kuwaelimisha

Back
Top Bottom