Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Mi kwa kweli nakuonea huruma tu binti, maana kupata mume napo kazi kweli maana mtoto wa nje ni daraja la juu hilo kwa mwanaume, ila kila la heri
 
Nakushauri mtafutie mwanao na maisha yako pesa wanaume utawapata tu hao wa. 32 bado wanawaza starehe kwa walio wengi mwanaume akifika at least 40 yrs akili ndo inatulia na anaacha michepuko
 
Wadau msimshambulie dada wa watu, kwenye familia/ukoo wenu wapo. Tena wengine humu wametelekeza damu zao alafu wanawaponda single mother. Single mother wanajali sana kama hamjui
Mi wadogo zangu wa kike nawaambiaga msikimbilie kuzaazaa huko mbele pagumu, atokee tu boya fulani afanye yake achukue mzigo wakazaliane huko, ila mambo ya kutia mimba afu asepe nimewaambia ntamtafuta huyo baba namtandika hadi nipeleke polisi
 
Huyo mtoto kampe baba yake, mwanaume hawezi kulea mtoto asiye wake wakati baba yake anakula starehe,
Ndo hilo swala linalonivunja moyo, hata aseme sina mawasiliano na baba ila ilimradi yupo hai mi siwez kumchukulia serious mamaa hata siku moja ntamwona mlupo tu, peleka mtoto kwa baba tuanze upya
 
Ndo hilo swala linalonivunja moyo, hata aseme sina mawasiliano na baba ila ilimradi yupo hai mi siwez kumchukulia serious mamaa hata siku moja ntamwona mlupo tu, peleka mtoto kwa baba tuanze upya
Tatizo la wanawake wengi wanang'ang'ania watoto mwanzoni utaambiwa story nzuri baadaye utaona baba mtoto akiimarisha mawasiliano na kama kawaida wakikutana lazima wagongane
 
Duh ulikua kwenye shimo la magolddigger..pole sana
 
Mwanaume mwenzako chaka limemshinda then wewe unajaa mzima mzima. Labda utwambie kama unajua kucare na kupenda why baba wa mtoto alikuacha
 
Ingawa sina vigezo kamili,kwa mujibu wa mhitaji,ila tutayajenga.nitafute inbox.Bora amani ya moyo kuliko vigezo,Naishi DSM.Tutafutane!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…