Natafuta Mume

Natafuta Mume

miye ninavigezo vyote ila tatizo langu nakoroma sana vipi utanivumilia?
 
Haki vile wanawake mnatongoza ajabu, ebu tutongoze vizuri bhana sasa ndio mtongozo gani huu umetoa dada angu? (Kiding) [emoji3][emoji3]


Sent using akili yangu
 
Kama kawaida yao, wakitafuta masharti marefuuu, wao sifa kiduchu! Uzuzu kabisa 😡😕🙄
 
Mimi dereva wa Boda boda. elimu yangu fomu foo. Kipato changu buku 5 kwa siku.

Vipi nakufaa?

-Kaveli-
 
Kama kawaida yao, wakitafuta masharti marefuuu, wao sifa kiduchu! Uzuzu kabisa 😡😕🙄

Hahaha afu jua likianza kuzama (wakianza kuzeeka) ndipo wanapunguza masharti to zero.

-Kaveli-
 
Usiishie kuandika jf, muombe na mungu akubariki mume mwema
 
Njia ya muongo ni fupi sana, yaani unatunga kastory unakaweka hapa! Eti umri wake ni miaka 25-28, hivi kuna MTU mwenye umri huu duniani? Au kila kiungo chako kina umri wake? Je ukiulizwa umezaliwa mwaka gani utatuambiaje?
Acha uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi nyie wadada.. naombeni muwe mnaandika hii sentensi katika kutuma maombi yenu

"Mume asiwe hanithi" hii itawasaidia kutoleta nyuzi za malalmiko na mirejesho ya rejareja
 
Back
Top Bottom