Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Sawa swahiba, dini je?atakayekuwa na masharti machache kama huyu, ila asiwe mfupi na asizidi 28 yrs, akitokea niite ntakuja mbio kama Bolt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa swahiba, dini je?atakayekuwa na masharti machache kama huyu, ila asiwe mfupi na asizidi 28 yrs, akitokea niite ntakuja mbio kama Bolt.
Ondoa hofu, ushapata maana hili ni jungu kuu, halikosi ukoko. Utajali kabila na elimu?mkristu itapendeza zaidi.😉😉
Aisee!, kumbe ndo naweka tangazo hapa?. ...kabila lolote ila elimu kuanzia fm 4.Ondoa hofu, ushapata maana hili ni jungu kuu, halikosi ukoko. Utajali kabila na elimu?
Who knows,unaweza kukuta baada ya conversation hii bahati ikawa upande wako ukakuta pm lukuki za wenye wasifu uutakao.Aisee!, kumbe ndo naweka tangazo hapa?. ...kabila lolote ila elimu kuanzia fm 4.
😀😀 may be, let us wait and see, I will bring you a feedback kama ikitokea hiyo bahati.Who knows,unaweza kukuta baada ya conversation hii bahati ikawa upande wako ukakuta pm lukuki za wenye wasifu uutakao.
atakuwa mswahili swahili si unaona katoa maandishiNa wewe toa sifa zako, ukoje, umri n.k
😂😂😂Acha uchokozi best
Dah...Who knows,unaweza kukuta baada ya conversation hii bahati ikawa upande wako ukakuta pm lukuki za wenye wasifu uutakao.
Acha unoko boya wewe eti University transcript what for? unampa kibarua, nasema tena ACHA UDANANDA mwenye Education CV ya hivo ni malaika au anakojoa dhahabu.Huku huwa unaweka na sifa zako unaunganisha na
1.Cheti cha STD VII
2.Cheti cha CSEE
3.Cheti cha ACSEE
4.Cheti cha Chuo (University Transcript)
4.Picha yako Ukiwa Unaonekana Full
Ili wanaJF tujudge wewe ni Mwanamke wa Aina Gani!
hv mwanza tuna nn ama ndio u- domo zege unatusumbua maana @ thread ya wataftaj lazma mtu wa mwanza utamsikia tu!!Hata mimi natafuta mke naomba unikaribishe pm
mwanza kwetu
waswahili hawatakiwi hapa, fursa yetu hii hapa sasa kwetu wadhungu!![emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe tafsir ya neno Swahili ni uongo, basi waswahili kazi mnayo me mwenyewe nitaka kujifunza kiswahili ila nimeghairi acha nibak na udhungu wangu, sitak kuwa muongo mm.
kumbe tafsir ya neno Swahili ni uongo, basi waswahili kazi mnayo me mwenyewe nitaka kujifunza kiswahili ila nimeghairi acha nibak na udhungu wangu, sitak kuwa muongo mm.
"Sipengagi ujinga mimi"
Sent using Jamii Forums mobile app