Natafuta mume

Mi niko tayari Dom nitafute
 
Mume anatafutwa wapi Mshindi Zaidi?
Kwanza kabisa Mume hatafutwi huja automatically, na tambua kuwa tatizo la vijana wengi hudhani Mambo haya ya ndoa ni kama kutafuta Mwenzi wa Maisha sio kweli, kikubwa kama wewe ni binti kuwa mtulivu,mcha Mungu,usiwaze kuwai au kuchewa kuolewa,ridhika jinsi ulivyo mtumikie Mungu jitume kufanya kazi zako ndogondogo au kubwa kwa ajili ya mahitaji yako binafsi usipende hela za kupewa na wanaume kizembe,huku ukimtumikia Mungu na ukawa mtulivu wa akili na mambo yako yote yawe matulivu,watu watakuona Maisha yako na Mungu atakuletea Mume Mzuri uwezi amini na nikuhakikishie kuwa sisi wanaume huwa hatuchukui wasiojiheshimu,wavivu,wanaojulikana kwa matukio mtaani na mengine mambo ya ajabu huwa tuna pick kilicho bora na mwenye kujielewa wanaume wakiona hali hii huja wenye tabia kama za binti huyu ambaye ameridhika na ametulia
 
But huwezi amini kuna wadada wanajiheshimu huku mtaani balaa lkn mambo yamewagomea kabisa!

Na kuna viruka njia kibao tena kuna mmoja huyo mtaan alikuwa anauza but kaolewa na ndoa with 2 kids!

Hili life lione hivi hivi haliko fair at all
 
Nikwambie kitu,kila jambo huja kwa Wakati wake kuwai au kechelewa kuolewa sio inshu sana,unaweza force kuolewa kumbe huyo si mume wako mwisho wa Siku mkaishi miaka mitatu na watoto mkazaa ukashangaa mnaachana,tatizo hii siri watu hawajui wakina Dada wanawaza kuolewa kumbe Mungu ajakupangia kwa Wakati huo,kumbe Hao wa mtaani wawe na subira wakati ukifika wataolewa daima na ndoa hazito vunjika kwa sababu mda sahihi umefika
 
Nimekupata mkuu...umeeleza vyema!
 
Nimekupata mkuu...umeeleza vyema!
Utafiti unaonesha wasichana kuanzia miaka 14 nakuendelea huwaza kuolewa na ndivyo hukosti wengi sana maskini Dada zetu,hiyo hali hata kama yupo shule akili yake ushakuwa ivyo so msichana yeyote akijishepu kwa uzuri wa kila sehemu tabia,asiwe muhuni na Mcha Mungu huyu lazima aolewe tu,ukifika mda kikubwa msiwe wepesi kutoa miili yenu kwan wazee wa Wa tamaa huja pia atakayekwambia anakupenda mkazie mpaka ndoa ndo utaujua ukweli kuwa anakutamani au anakupenda kweli
 
Hili nalo neno
 
But huwezi amini kuna wadada wanajiheshimu huku mtaani balaa lkn mambo yamewagomea kabisa!

Na kuna viruka njia kibao tena kuna mmoja huyo mtaan alikuwa anauza but kaolewa na ndoa with 2 kids!

Hili life lione hivi hivi haliko fair at all
Ni kweli kabisa. Na mitandao ni njia mbadala ya kutafuta mwenza baada ya mtaani mambo kugoma
 
Sasa Uajekundu kila.mtu kajieleza hapa lakini hadi sasa hajakuona PM, mbona mnacheza na akili zetu? Na usipopata mtu hapa hutopata hadi uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…