Natafuta mume

Natafuta mume

Tuma picha yako PM kama upo serious, nipo nyumba 300 hapa yuyajenge
 
Duhh vijana wa jf kwa kupenda vya kunyonga!! "

Kwa nini msitafute watoto wamejaa wengi sana mitaani!!?

BTW, jf sio pahala salama kivile. Wasiojulikana wanapenda kutumia techniques kama hizi. Kuweni makini.
 
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Weka kapicha
 
Kumbe kityu "used" kipo sokoni!
20180912_175444.jpg
 
Mi nina masters ningekuoa ila we una degree ko hujakidhi vigezo vyangu
 
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Bint unataka pesa au vyeti?Wenyepesa kama King Musukuma kanda ya ziwa hata darasa LA 7 hajafika.Shauri yako
 
Hahahaha! Hivi alishazaaaa??

Singo maza huyu non marketable.

Halafu analia lia na kadi ya NHIF that means ni ajira ya serikalini. Endelea tu mama kuzaa bila ndoa. Mwanaume mwenye akili timamu hawezi oa mwanamke aliyezaa nje ya ndoa.
I see[emoji15] [emoji15] ...mbona maneno makali hivoo
 
Mama ungeweka nasifa za moyon sasa, izo za nje wanaume hua hawazioi !!

Maana una elimu/kazi lkn atakukuta una tabia mbovu mbovu tu ... Huon ni tatizo??? .

Alafu kama nimimi Umeshafel,, Haiwezekan mwanamke Humjui Mungu... Ungemchomekea tu hata km humjui.
Haaaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti ungemchomekea hata kama humjui[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom