Natafuta mume

Natafuta mume

Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
We umri ulionao bado unataka mwenye digrii, ulishindwa kutafuta ukiwa Chuoni? We tafuta mwanaume usiweke vigezo maana hauna bikra
 
Aisee afadhali umewaengua wachaga mapema, ma bro wangepata tabu tuu...kwanza single mother, pili utakuwa huna mvuto ndio maana unajizungusha mtandaoni kutafuta mume
 
Mbona hujasema kama una mtoto kwenye CV yako huoni unajikosesha bahati?
 
Back
Top Bottom