Natafuta mume

Kumbe kitu used kabisa jamani. Hiyo digirii naona ni chachandu tu. Hata O level ulishindwa. 27 tiyari umemaliza digirii na kuzalishwa!! Ulimwengu huu, tuule taratibu jamani.
Kaushauri; Huna sifa ya kuweka sifa hizo unazotaka hapo. Sema hata Std. 7 mwenye kujiajiri mwenyewe fani yoyote. Utapata lakini digirii hupati ng'o. Used ni used tu haina cha digirii
 
Kama wewe ni bikra sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…