Natafuta mume

Natafuta mume

Uzi umechangiwa sana, hii nafasi bado ipo kwelii!!?

Ajira jam hadi huku napo jam waungwanaa!!?
 
Nimepita chap kama mtuhumiwa anvyopitaga kituo cha police kabla hajakamatwa
 
Umekariri vibaya rafiki yangu. Nikwambie tu si wote. Kuna wale wachaga waliozakiwa na kukulia mjini, i mean mikoa mingine.. wako vizur na hayo mambo hawana japo ni watafutaji

Mchaga si bahili bali ni mtu wa ratiba, kama mchaga angekuwa bahili Desemba asingepoteza pesa yake kurudi moshi, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Karibu sana Dodoma nikutafutie na nyumba kabisa
 
Wasomi fursa hiyo hapoo...tulioshia std 7 hadi f6 imekula kwetu, tumekosa fursa.
 
Back
Top Bottom