Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hatuta elewanaNa kwanini wahitaji aliyesoma... Kwani ambao hawajasoma hawawezi kuoa ambao wamesoma...
NajuaHii Ndoa nategemea ukimpata mtu mtadumu Sanaa miaka mitatu au miwili kutafuta Mume wa Maisha kwenye mitandao? Duuuuu pole sana
Unajua Maana ya Mume au Masihala tu
BadoPM yangu umeiona!!??
Popote wanapatikanaMuombe Mungu akutafutie mume bora sio kuja kutafuta wanaume mtandaoni,
Mkubwa tuMtoto wako ana umri gani?
NjooNakuja
AsanteTribe any!!!! Asiwe mchaga au mzaramo!! Pole
Ungeweka kuwa una mtoto miongoni mwa sifa ulizo nazo ili tujue kabsa kama nakuja PM nakuja kuleaUmeuliza?
AsanteHaya bhana kila la kheri
Basi wewe una kiburi, jeuri, majivuno, na dharauHatuta elewana
Mmmmh sidhaniUmekariri vibaya rafiki yangu. Nikwambie tu si wote. Kuna wale wachaga waliozakiwa na kukulia mjini, i mean mikoa mingine.. wako vizur na hayo mambo hawana japo ni watafutaji
Ha ha haMimi ni mshenga.
Ha ha haChura ipo?
Uliza ujibiweUngeweka kuwa una mtoto miongoni mwa sifa ulizo nazo ili tujue kabsa kama nakuja PM nakuja kulea
Hayo ni maoni yako tuBasi wewe una kiburi, jeuri, majivuno, na dharau
Mi ntamjuaje aliyefunga sasa jameni, sijui wanafungua vp kwakweliNani kafunga? So nafunguaje?
Tafadhali njoo pm kama unahitaji ndoa. Usinihukumu kwa vitu vidogo i.e. matumizi ya lugha, we mke mtarajiwa!Kumbe unajua
Ofkozi iti isi mai maoni... Tafuta tu wa degreeHayo ni maoni yako tu