Natafuta mume

Natafuta mume

Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
Kuna kigezo kila siku kina ninyima mke. Kila la kheri.
 
Wachaga na wa Pwani????????????????????????????????????????????????

We dharau watu wa Pwani tu wameshatoa Marais wa 2 kati ya wa 5 tangu Tz ianzishwe. Na Wachaga wajanja sana kuliko hao Wasukuma unaowataka. Shauri yako.
 
Rudi skuli

Nikafanye nn Wakati wenye elimu ndiyo kutwa kuhangaika na kutafuta wake na waume,Ila sisi wengine hatuna habari tunazurura tu na kuenjoy maisha.

Alafu wasomi wengi wabinafsi sana,wanaleta habari za elimu na madigrii,Mara maPHD sijuwi nn alafu wakiingia katika ndoa siku mbili nyingi ndoa inageuka jehanamu maana hakuna waku msikiliza mwenzie,wote wanajiona wapo juu.

Mniache na akina Ashura chupi kubwa wangu sie hatunaga mbwembwe.
 
degree mbwembwe bwana wewe. kwani akipata mwanaume anayemuhudumia vilivyo kwenye masuala ya pesa na anamgegeda vizuri atasema sikutaki kisa huna degree...highly doubt it
Ha ha ha hapana kwakweli
 
Nikafanye nn Wakati wenye elimu ndiyo kutwa kuhangaika na kutafuta wake na waume,Ila sisi wengine hatuna habari tunazurura tu na kuenjoy maisha.

Alafu wasomi wengi wabinafsi sana,wanaleta habari za elimu na madigrii,Mara maPHD sijuwi nn alafu wakiingia katika ndoa siku mbili nyingi ndoa inageuka jehanamu maana hakuna waku msikiliza mwenzie,wote wanajiona wapo juu.

Mniache na akina Ashura chupi kubwa wangu sie hatunaga mbwembwe.
Hongera
 
Hahahaha! Hivi alishazaaaa??

Singo maza huyu non marketable.

Halafu analia lia na kadi ya NHIF that means ni ajira ya serikalini. Endelea tu mama kuzaa bila ndoa. Mwanaume mwenye akili timamu hawezi oa mwanamke aliyezaa nje ya ndoa.
Maoni yako tu haya
 
Back
Top Bottom