Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!!!ndo unatafuta mume...aiseeWe bwege nn ben 10 wa nn mm baada ufikirie maisha unataka kuwa kiben 10 utakuja pigwa mtungo ww usipende vya bure
MwenzanguDuuh!!!ndo unatafuta mume...aisee
Ulitaka nitafute nn mtu namwambia ukweli au na ww ndo wale wale wa kulelewa?Duuh!!!ndo unatafuta mume...aisee
Unatumia maneno makali sana,Ulitaka nitafute nn mtu namwambia ukweli au na ww ndo wale wale wa kulelewa?
Mi mtoto wa kike yeye wa kiume si anataka mtungo huyoko wewe ndo unataka vya bure,,,,uongo??
So?Unatumia maneno makali sana,
Hebu angalia hapo hunijui ila unaniongelea ovyo
Kila la kheri mwaya,I’m glad unejionyesha ulivyo,atakayekuja anajua kabisaa anadeal na Mtu wa sina gani,sio wengine wanaletaga maombi wanajionyesha wana Adabu na heshima Kumbe ni mafisi ndani ya ngozi ya kondoo
Embuuu nipishe
em ni-pmMi mtoto wa kike yeye wa kiume si anataka mtungo huyo
Huwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?Kila la kheri mwaya,I’m glad unejionyesha ulivyo,atakayekuja anajua kabisaa anadeal na Mtu wa sina gani,sio wengine wanaletaga maombi wanajionyesha wana Adabu na heshima Kumbe ni mafisi ndani ya ngozi ya kondoo
ID yako ya zamani inaitwaje???Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi
Huwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?
Sipatagi majibu kabisaa
kwa upeo wangu unaonesha una zile universal qualities za kuoleka.
Ukweli ni wanawake wenyewe wanaotafuta hawako siriaz au unakuta ni mwanaume amekosa kazi ya kufanya anakuja kama mwanamke ili aone koment nyingiHuwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?
Sipatagi majibu kabisaa
kwa upeo wangu unaonesha una zile universal qualities za kuoleka.
unatafuta Mwanaume au Mume unataka umfanye nini akishajitokeza.?Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio mrefu sana kiasi tu, maji ya kunde, asiwe mnene sana awe wastani aje PM kwa maelezo zaidi