Natafuta mume

Nilijua ni tiketi ya kunitoa chaputa ila sijaajiriwa wala kujiajiri...chaputa hoyee bado tupo pamoja
 
Kila la kheri mwaya,I’m glad unejionyesha ulivyo,atakayekuja anajua kabisaa anadeal na Mtu wa sina gani,sio wengine wanaletaga maombi wanajionyesha wana Adabu na heshima Kumbe ni mafisi ndani ya ngozi ya kondoo
 
Embuuu nipishe

mimi nasubiri siku ambayo mwanamke atajitokeza kutafuta mume na asiweke kigezo cha kuajiriwa wala kujiajiri ila tu aseme tutakula,tutavaa na kulala kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.....akijitokeza wa namna hiyo natangaza kabisaa atakuwa wangu

ukiona mwanamke anatafuta mume na anaweka kigezo cha ajira ujue hatafuti mume huyo bali anatafuta pesa
 
Kila la kheri mwaya,I’m glad unejionyesha ulivyo,atakayekuja anajua kabisaa anadeal na Mtu wa sina gani,sio wengine wanaletaga maombi wanajionyesha wana Adabu na heshima Kumbe ni mafisi ndani ya ngozi ya kondoo
Huwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?
Sipatagi majibu kabisaa
kwa upeo wangu unaonesha una zile universal qualities za kuoleka.
 
ID yako ya zamani inaitwaje???
 
Huwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?
Sipatagi majibu kabisaa
kwa upeo wangu unaonesha una zile universal qualities za kuoleka.

Hahaaa James,sasa mbona huniwowi 😂😂 au uko taken?...usijali mwaya labda Mungu ana mipango mingine na mimi..
 
Huwa najuililiza hawa wanaume wenzangu waliojipanga kuoa walioko humu na wanatafutaga wenza humu hivi why dont they seek your hand on marriage?
Sipatagi majibu kabisaa
kwa upeo wangu unaonesha una zile universal qualities za kuoleka.
Ukweli ni wanawake wenyewe wanaotafuta hawako siriaz au unakuta ni mwanaume amekosa kazi ya kufanya anakuja kama mwanamke ili aone koment nyingi
 
M
unatafuta Mwanaume au Mume unataka umfanye nini akishajitokeza.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…