Natafuta mume

Hahaaa James,sasa mbona huniwowi [emoji23][emoji23] au uko taken?...usijali mwaya labda Mungu ana mipango mingine na mimi..
Mi bado ila kuna watu waliotayari kwa hatua hiyo sijui labda hatuoni kitu kimoja kwa wakati mmoja. All the best lakini.
 
Sijamaanisha mtoa post. Kuna pipo humu I perceived them to have universal qualities za kuoleka. Tuliza kichwa utawagundua tu wapo humu.
Ukweli ni wanawake wenyewe wanaotafuta hawako siriaz au unakuta ni mwanaume amekosa kazi ya kufanya anakuja kama mwanamke ili aone koment nyingi
 
jamani eeh nasema huu ni mtego kuna mtu anasakwa hapa jf huyu jamaani 100% ni mwanaume si mwanamke kwa uzoefu wangu mwanamke maongezi yake haya wezi kuwa hivi kama ajibivyo watu humu jf

take care of this boy-girl my fellow members please please.....!
 
Vipi malighafi iko vizuri haijawa bwawa? maana binafsi sipendi bwawa sio naoa Leo kesho naanza kutafuta mchepuko.
 
ww sio irean wangu wa dar ww mbona nilikuambia nitakuoa jaman dah yaan huniamini kweli?
 
Kumbe umeenda shule mbuzi,your such a d.mb s.hit,..

Mwanaume atakaekuja kuwa tayari kuwa na mke kama wewe atakuwa hajielewi
Kama babaako asivyojielewa kumpata mamaako ambae ni dumb shit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…