Hahaha hahaha
Hizo likes wanapeleka wap? Kuna watu wanakazi nazo eehStori za kupata watu wa kuchangia uzi na kuongeza likes tu hizi....
Hahahaha
hahaha chura watatumaliza, noma sanaSitojali kama una VVU, cha muhimu uwe na chura wa kunesa nesa!
Wenye vvu wanajitangazaga hivii.....?Mm n binti wa miaka 26,ninaishi na vvu na tafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mm n mrefu,mweupe kias na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums mobile app