Mimi ni binti wa miaka 26,ninaishi na VVU natafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mimi ni mrefu,mweupe kiasi na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha
Hizo likes wanapeleka wap? Kuna watu wanakazi nazo eehStori za kupata watu wa kuchangia uzi na kuongeza likes tu hizi....
Hahahaha
hahaha chura watatumaliza, noma sanaSitojali kama una VVU, cha muhimu uwe na chura wa kunesa nesa!
Wenye vvu wanajitangazaga hivii.....?Mm n binti wa miaka 26,ninaishi na vvu na tafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mm n mrefu,mweupe kias na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums mobile app