Natafuta mume

Natafuta mume

Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto

Sifa za MWanaume

awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda maendeleo
29-35 miaka
asiWe na mtoto akiwa nae asizid mmoja
Mkristo
Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli uko serious ni pm namba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto

Sifa za MWanaume

awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda maendeleo
29-35 miaka
asiWe na mtoto akiwa nae asizid mmoja
Mkristo
Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
unamaliza chuo wapiiii??
zile sifa nyingine za rangi, urefu n.k wewe huzitaki?? 😉😉
 
Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto

Sifa za MWanaume

awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda maendeleo
29-35 miaka
asiWe na mtoto akiwa nae asizid mmoja
Mkristo
Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyakyusa huwa mna sura nzito! Vipi yako iyo kilo ngapi?
Tuanzie hapo kwanza halafu tuje kwenye tako.
 
Back
Top Bottom