Natafuta mume

Natafuta mume

Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto

Sifa za MWanaume

awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda maendeleo
29-35 miaka
asiWe na mtoto akiwa nae asizid mmoja
Mkristo
Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa unataka ukimaliza tu uingie kwenye ajira ya ndoa?
Wenzio wanasota we unataka uingie moja kwa moja? Impossible [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnataja aina ya biashashara manake ziko nyingi, isiwe zile za wale ndugu zetu wapenda sifa baadae unajikuna imeingia 18
 
hapo nmeshindwa vigezo 2, nina watoto 8, kila mmoja na mama yake na pia umri
 
Tuwasiliane mm nipo single ila iwe
Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto

Sifa za MWanaume

awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda maendeleo
29-35 miaka
asiWe na mtoto akiwa nae asizid mmoja
Mkristo
Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwas I liane mm APA nakfaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] finalists, wazee waadesa mnahaha na kitaa!! Ndoa ndoa ndoa ndoa

1)engagement ring
2)wedding ring
3)suffering



Hivi mkuu chuoni hujawaona walim wenzako?? Au unataka kumaanisha walim wa sasa wamegeuka kua walimwengu!!
 
Mwalimu usiyejua kuandika vizuri ....

Wewe kufundisha watoto wetu ni hasara
 
Back
Top Bottom