Natafuta mume

Hivi huwa mko xriac au mna joke ,labda maana Dar wanawake mabinti ambao hawajaolewa ni wengi sana nimewahi observe kipindi naishi yaani unakuta una mademu waliotayari kuolewa kumi tofauti na mikoani huku wasimbe au single mom ndio wengi wamezalia nyumbani
 
Sidhan kama kuwa mchaga ni tatizo. Unless ni rumors tu. Mm si mchaga lakin ukoo wetu wengi wameoa uchagani na wote wanaish vyema tu.. miaka yote nazaliwa mpaka utu uzima wapo tu?
Sifa zote ninazo Ila moja tuu "MCHAGGA!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…