ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hivi huwa mko xriac au mna joke ,labda maana Dar wanawake mabinti ambao hawajaolewa ni wengi sana nimewahi observe kipindi naishi yaani unakuta una mademu waliotayari kuolewa kumi tofauti na mikoani huku wasimbe au single mom ndio wengi wamezalia nyumbani