Natafuta mume

Natafuta mume

Mtoa mada ni Ngonyani.

Mangonyani wanapenda mboo sana.

Wachagga tunapiga kazi sana, ila hatupendi kumbato sana.

Mtoa mada yupo sahihi.

Wangoni oyeee
 
Mie msabato nishafeli hii offer kabambe..
 
Kwahiyo vigezo vyote Ila wachagga hututaki na umri 30-35 haya sijui wachagga tuliikosea nini Tanzania Hadi kwenye mahusiano hatupo aiseeee emu badilika bhna acha uoga kiasi hicho mbona wema wapo na wenye hekima.
 
Aisee wachaga toka tupewe shutuma na makonda hii ni ishu nyingine naon kumbe kuna baadhi ya makabila hawan ndoto za kuolewa huku moshi. Sababu hasa ni nini
Mako na wenzake ni zero medula amna kitu waache wawe hivo hivo
 
Mtoto hataki watu wabaili ... wasabato mnawalisha watu ugali na karanga asubuhi mnawaambia ni afyaa, nani asiyetaka vya kukaangwa ? Wachagga wanakuachie f10 kwa siku hapo unatakiwa ulishe familia ulipe kodi na ada za watoto yaani ukiuliza utasikia io f10 kwa siku ulishindwa kufungua hata kabiashara kadogoo
Nani kasema wachagga wanaacha elfu 10 emu kuwa makini
 
Haaa!
Kwani chato kuna tatizo gn mkuu?


Yeye katoa sifa zake na sisi tunatoa zetu.

Hatutaki mwanamke mjinga kama yeye. Sema najua Mungu aliumba wajinga na werevu hivyo asubiri wajinga wenzake.

Anafikiri wachaga ni wajinga kama yeye.
 
Usabato umenikosesha mke, nangoja wangu. Vingine nimefiti
 
Maisha ya Mwanadamu hupangwa na Mungu,
Ukienda kwa macho ya mwili na nyama utateseka sana na kupata taabu.

Omba Roho Mtakatifu akupe macho ya Rohoni ili usije ukajuta. Wengi walishaumia sana kwa mahusiano haya, naona huruma maana mwanamke anasiku zake za kujidai na kuingia uzuri wake, ila umri huo ukishapita inabakia hakuna uchaguzi baali uvumilivu tu.

Hakuna Kabila LENYE ustadhi katika mahusiano, baali upendo, msamaha, uvumilivu na utu wema unafanya ndoa na mahusiano kudumu had uzeeni.

Jibidishe na mambo ya kanisani kwenu,
Mtumikie Mungu Jehovah ili nae aone utumishi wako na akupe kikufaacho.

Nje ya hapo utakuwa na safari ndefu ya mahusiano au hata kuzalia nyumbani.

Niishie hapa .
Kama unataka Ushauri na Saha nipigie au nione PM
SIFA
AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU
MIAKA 30-35
AWE MCHA MUNGU
ASIWE,MCHAGA
AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM
[emoji120]
 
Back
Top Bottom