Na harakaharaka haina barakaHahahaha ,shauri yako,we chelewa chelewa ukute Mwana si wako
Na wewe watafuta mume....?Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
zeshchriss PM Umefunga wanakulalamikia wajibu hilo la kufunga pmSalaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
HahahahaNa harakaharaka haina baraka
Hahahaha, hakuna namba 1 wala 10Sio nakutetea hapa kumbe una namba3..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, hakuna namba 1 wala 10
Salama tu, habari ya new month ?Poa tu za siku???
Jamani nilishalijibia toka jana hilizeshchriss PM Umefunga wanakulalamikia wajibu hilo la kufunga pm
Jamani nilishalijibia toka jana hili