Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Na wewe watafuta mume....?
 
zeshchriss PM Umefunga wanakulalamikia wajibu hilo la kufunga pm
 
Kama uko serious nakutakia kheri kipenzi
Mamy [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29] hata usinitakie kheri, huu uzi umeleta tafran kubwa mno
 
Back
Top Bottom