Kunywa oil mkuu. Utakuwa tu mweusi automaticallyHiki kitambi hiki, inabidi niende gym kwa kweli, halafu wadau hakuna namna mtu anaweza kuwa mweusi??
Vigezo vinatukosesha wake
Anamaanisha awe anamfikisha pale kibo na mawenzi mzee!Sifa zote ninazo,
Ila mimi ni mwembamba lakini mwili upo kimazoezi
FAFANUA HAPO KWENYE KUUTUMIA VIZURI UANAUME WAKE
Kwa kwa kwa kwaKunywa oil mkuu. Utakuwa tu mweusi automatically
Bebe umepata wangapi Hadi Sasa?Ngoja nikaifungue
[emoji1787][emoji1787] umeuliza kinyonge Sana mkuuHivi mdogo wangu ulipata hitaji la moyo wako?
Ntawahi hiyo fursaOooh, poa poa mkuu, nakuja na Uzi wangu nahitaji mwenye sifa kama zako[emoji3] [emoji3]
Ayaaaaa! Namimi nimekosa Sasa..ujue nilikua nakutegemea upate wawili unigawie mmoja..[emoji134]Hata mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliowapa vipaumbele hawajaja? Wengine tuanze kujaHata mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] hata siyo fursa mkuu usije juta bureeNtawahi hiyo fursa
Ngoja nije boxNdiwooooo
Kwann tena mkuu mbona unanitisha[emoji1] [emoji1] hata siyo fursa mkuu usije juta buree
Haupo serious mku pm umepiga kufuli ndo maana hawajajaNdiwooooo
Yeyote mradi ujuwe kutafuta pesa, sio kukaa na kulia lia tu