Natafuta mume

Natafuta mume

Mie mmojawapo nilikuwa nikitaka kukutag ilikuwa ni lazima niangalie spelling za ID yako mara kumi kumi 😜😜😜

Hahahahahahahah jamani ndiwooo kaka nimefanya modification, maana iliwachanganya wengi
 
Mie mmojawapo nilikuwa nikitaka kukutag ilikuwa ni lazima niangalie spelling za ID yako mara kumi kumi [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimerahisisha
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
👊🏽👊🏽👍🏽👍🏽

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimerahisisha
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Hapo kwenye "matako" ungenipata maana mi huwa naangalia makalio.......

Uko tayari kuwa.mke wa pili?
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana

Tangazo hili bado linafanya kazi au limeshapita Muda wake
 
Back
Top Bottom