Natafuta mume

Asipotafuta pesa tutakula mawe?, tutavaa nini, tukiumwa hospital je, watoto watasomaje??? Kuna vitu huwa mnakwepa hata sijui mnakwepaje
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume. Hakuna mwanaume asiyejua kutafuta pesa akiwa na mwanamke mwenye akili sababu atamshauri jinsi ya kutafuta pesa (siyo kama mwanamke atatafuta pesa hapana ila atamshauri, fanya hivi, fanya kile, unaonaje ukinitafutia kiasi fulani cha pesa nifanye biashara?)
Kuna baadhi ya wanawake wao wapo kukinga mikono tu, hawezi kumshauri mwanaume kuhusu lolote kuhusu utafutaji wa pesa. Kuna kipindi mishe inakata na haujui ufanye nini lakini ukiwa na mwanamke mwenye akili atakushauri, mume wangu unaonaje ufanye kazi ya ulinzi? ikifika mwisho mwa utanipatia 50,000 nifanye biashara ya genge n.k USHAJIULIZA KWANINI KIPINDI HIKI WANAWAKE NDIYO WANAHANGAIKIA NDOA KULIKO WANAUME? Mimi nikiwa na mwanamke ambaye hanipi hata ushauri/mawazo yoyote kuhusu utafutaji wa hela napiga chini maana ni mzigo na siku nikiyumba atanikimbia. Siyo kama nategemea ushauri/mawazo yako ili nitafute pesa lahasha angalau tushauriane kwasababu pesa ni yetu sote
 
Asipotafuta pesa tutakula mawe?, tutavaa nini, tukiumwa hospital je, watoto watasomaje??? Kuna vitu huwa mnakwepa hata sijui mnakwepaje

Okay, somehow uko right.
Lakini sasa useme kuwa "awe tayari kusaidiana NA Mimi ktk kutafuta pesa"

Msaidiane wote kutafuta pesa, lakini siyo umuachie yeye peke yake jukumu hilo
 
Wasiosoma maandiko siwataki
 
Ushauri utapewa hilo sio tatizo na siwezi kuona mume anayumba nisimshauri, hilo halipo........ Kingine nataka mwanaume muislamu anayejua dini inataka afanye nini kama mume kwenye ndoa, naona waleta porojo wameanza hapa
 
Upo serious kweli?
 
Mume muislamu msubiri anakuja. Ukumbuke mume atafutwi kama unatoa tangazo la ajira na ndoa ni ya mwanaume. Tengeneza mazingira yatakayo mvutia huyo mume kuja na ukumbuke mume mwema haitaji mwanamke ambaye ni Gold digger. Goodluck
 
Wewe ni kichaa ndio maana nimekwambia mume muislamu anayejua dini imemuamrisha nini juu ya ndoa yake..... Wewe ni [emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…