Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Vp dada ushampata mchumba au bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishampata ambaye ni mimi.Vp dada ushampata mchumba au bado?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,
Sifa za mke nimtakae
Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.
Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaaa pimbi kinouma[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]vipi mkuu?
Bibie hapo huruki aisee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibie hapo huruki aisee,
ila akizingua kesho upepo wa kisulisuli ukupitie nikukute mlima wa moto baharia ntatimba na jinsi nyeusi na t-shirt nyeupe na raba white[emoji41][emoji41][emoji41]
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Ndo hapa huyu si mkweli ukimuoa kila siku anakupiga kanyangaLa saba unaandika vizuri hivyo mmh Acha uongo ni mbaya
Itapendeza uongeze muda na mimi nilete application nwanzo mtandao ulikuwa u asumbua kidogoIlishapita
Kizuri kula na wenzio
Unapeeenda kuona me nikiteseka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]