Natafuta mume

Natafuta mume

Nlikuwa wapi sikuona hili andiko[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]


Anyways ushapata au bado nimtume mshenga sasaivi!
Elimu yangu ni fomu too
 
Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,

Sifa za mke nimtakae

Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.


Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bibie hapo huruki aisee,
ila akizingua kesho upepo wa kisulisuli ukupitie nikukute mlima wa moto baharia ntatimba na jinsi nyeusi na t-shirt nyeupe na raba white[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Bibie hapo huruki aisee,
ila akizingua kesho upepo wa kisulisuli ukupitie nikukute mlima wa moto baharia ntatimba na jinsi nyeusi na t-shirt nyeupe na raba white[emoji41][emoji41][emoji41]
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi deadline ya application ilishapita ?
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hapa huyu si mkweli ukimuoa kila siku anakupiga kanyanga
 
Back
Top Bottom