Natafuta mume

Natafuta mume

Kwani bi dada hadi miaka hio 26 uliofika hakuna mwanaume ambaye aliwahi kukutongoza? Na ukasema sio type yako, everything is possible lakini kutafuta mwenza mtandaoni ni risk kubwa sana
 
Karma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kwani umeambiwa lazima mume uwe wewe, watu mna stress za maisha mnakuja kuwaletea wasiohusika
Sina stress Mkuu ndo ukweli huo dhamani ya kondoo mkia kama huamini waulize wamasai .
 
Mimi pia natafuta make
Awe mrefu mweusi mnene kuasi,makalio makubwa kiasi
Awe amekeketwa
Elimu yoyote ile
 
Back
Top Bottom