Natafuta mume

Huu uzi kumbe bado upoπŸ˜€πŸ˜€ na watu wanaweka nambaπŸ™ŒπŸ˜€πŸ˜€
 
Njoo pm niko 70 yrs engine inatoa maji , sijafanya overhaul wala kushusha gearbox. Age is just numbers
 
Huyu nimeweka mawasiliano kwa inbox yake toka siku ya kwanza lakini wapi, nadhani atakuwa dume, linatest mitambo
 
Huyu nimeweka mawasiliano kwa inbox yake toka siku ya kwanza lakini wapi, nadhani atakuwa dume, linatest mitambo
Uongo dhambi, hiyo pm sijawahi kuifungua wewe uliweka kwa pm ya nani
 
Sasa kama hujawahi ifungua hiyo pm yako na umesema wakufuate pm,ulimaanisha nini?huoni kama unawakatisha tamaa wanaoweka nia kutokana na haya mabandiko?
Atakuwa hajiamini;kwa sababu wengi wanaofunga pm ni kwa sababu hawajiamini kwa maamuzi yao.
 
Daah!!I hope nina bahati Sana mimi, huwez amin pia nlikuwa na type andiko la kutafuta mke nkakutana na hii kitu,Bila kupepesa macho hebu ni inbox chap tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…