Kuwa bimdogo utaweza?Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Naninaaaa ndo maana hujapata mume hadi leo, utadanga hadi kisigino kiende upande pambaffffffffffUnanipangia ??? Wewe ni Melo!!? Kenge wewe anzisha forum yako uwapangie watu masharti mwanaizaya wewe
Hii ni comment ya 932 page no 47 na bado utaendelea kusugua gaga, usaili unaonesha ni mkorofi na dawa ya wakorofi ni kukopwa tu mechi hadi papuchi iwe na rangi nyeusi kama lami!Pole sana, mie sio mtoa riziki muombe mungu akuondoe kwenye hilo janga
ulifanikiwa, kama ni bado, tuzungumze!Pole sana, mie sio mtoa riziki muombe mungu akuondoe kwenye hilo janga
Karibu kuwa bimdogo wanguHiko cheo nakipenda sana, naweza
Kwa ulichokiandika kuhusu Uzi wako, taarifa zako na hali ya uhitaji wa mume ni ya kweli ama Uzi una dhumuni jengine?Bado
Pole km upo serious uje pm tuyajengeNdiwooo
Hapana si kweli, hawezi kuwa kenge. Kenge amepata wapi smartphone au computer aingie JF? Na hata akipata, kenge hawezi kutype.Unanipangia ??? Wewe ni Melo!!? Kenge wewe anzisha forum yako uwapangie watu masharti mwanaizaya wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usajiri unaendelea na interview inaendelea, bado hajapatikanaAfter carefully consideration nimeona mimi ndiye, vipi ushafunga maombi au bado??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka matako nenda katafute wengine... Mimi sina takoOnyesha size ya matako yako japo kwenye nguo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usajiri unaendelea na interview inaendelea, bado hajapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooosasa kama hauna matako makubwa,hayo yaliyopo ni madogo kiasi gani.
the smaller the berry the bitter the juicy... but the bigger fat uuuuaaass the sweeeter the juice